BRAMO Tech Engineering Company Limited
We are actively engaged in the renewable energy sector, providing sustainable, affordable, and environmentally friendly energy.
Our primary focus areas include biogas, solar energy, and biomass briquettes, each reducing fossil fuel dependance. We also deal with bisiness networking in a very profitable way that benefits each individual every month.
21/04/2026
๐ฟ ๐๐๐๐จ๐ก๐ญ๐ ๐ง๐๐๐ก๐ข๐๐ข๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ก๐๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ก๐ ๐๐ฅ๐๐ ๐ข ๐ง๐๐๐๐ฟ
โJe, una nia ya kuachana na gharama kubwa za mkaa wa miti? Je, ungependa kuwa sehemu ya mabadiliko kwa kutumia nishati mbadala inayohifadhi mazingira?
โBRAMO TECH tunakukaribisha kwa mafunzo maalum ya vitendo!
โ๐ Tunachofundisha:
โฆ โUzalishaji wa Mkaa Mbadala (Briquettes): Jifunze jinsi ya kutengeneza mkaa bora kutokana na masalia ya mazao na taka za mazingira.
โฆ โMatumizi sahihi ya Nishati Safi: Mbinu bora za kisasa za kupikia kwa usalama, haraka, na gharama nafuu.
โโ๏ธ Huduma za Mashine:
โMbali na mafunzo, tunasanifu na kutengeneza mashine imara za kisasa za kuzalisha mkaa mbadala (k**a zinavyoonekana pichani). Mashine zetu ni:
โ
Rahisi kutumia.
โ
Zinazozalisha kwa tija kubwa.
โ
Zinazodumu kwa muda mrefu.
โ๐ฅ Walengwa:
1. โWatu binafsi wenye ari ya ujasiriamali.
โ2. Vikundi vya kijamii vinavyotaka kuanzisha mradi wa nishati.
โ3. Wadau wote wa mazingira na nishati safi.
โ๐ Mahali: Kibada Garden, Kigamboni, Dar es Salaam.
๐ Wasiliana nasi sasa: 0768546536
โBRAMO TECH: Ubunifu wa Teknolojia kwa Nishati Endelevu! ๐๐
14/04/2026
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐! ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฅโจ*
Habari njema kwa wateja wetu! BRAMO Tech tunaendelea kuthibitisha ubora wetu kwa kunyakua tuzo ya ๐๐๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ฎ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ก๐๐ญ๐ข ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ฉ๐ข๐ค๐ข๐ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ 2026 (๐๐ฅ๐๐๐ง ๐๐จ๐จ๐ค๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ง๐จ๐ฏ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐๐ฐ๐๐ซ๐), iliyotolewa na Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC).
Pia, tunajivunia kuwa Kmpuni bora ya Nishati Safi ya Kupikia. Huu ni ushindi wa Watanzania wote wanaochagua nishati rafiki kwa mazingira!
BRAMO Tech tunafunga mifumo ya kisasa ya nishati safi (Biogas) inayozalisha gesi kwa kutumia:
โ
Mabaki ya chakula.
โ
Kinyesi cha ng'ombe, kuku, na nguruwe.
โ
Taka nyingine za kikaboni.
Ni wakati wa kupika kisasa na kuokoa gharama. Shukrani za pekee kwa TWCC kwa kutambua mchango wetu katika mapinduzi ya nishati safi nchini.
๐ Wasiliana nasi leo upate huduma kutoka kwa mabingwa waliothibitishwa.
BRAMO Tech: Ubunifu Unaogusa Maisha.
Modester Lukosya Naftali Kussaga
02/01/2026
๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐!๐
BRAMO Tech inakuletea mwangaza mpya kwenye mtaa wako! Sasa unaweza kufurahia barabara zenye usalama na mwangaza usiku wote, huku ukisaidia kuokoa umeme na kulinda mazingira kwa kutumia taa hizi za kisasa na rafiki kwa mazingira.
Street Lights hizi zina sifa kuu zifuatazo;
โ
Uimara wa hali ya juu
โ
Hutoa mwangaza usiku wote
โ
Rafiki kwa mazingira
โ
Zinapunguza bili za umeme
โ
Rahisi kufunga
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa 0768 546 536
24/11/2025
๐๐๐ง๐จ๐ ๐ก๐ฌ๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐๐จ๐๐ช๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐๐ข ๐ฌ๐๐ง๐จ 2025.
Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa BRAMO Tech Engineering Company Limited tumepokea Cheti cha Ushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa mkaa mbadala (Biomass Briquetting), mafunzo yaliyotolewa na TIRDO kwa ushirikiano na REPOA, tarehe 17โ21 Novemba 2025.
Mafunzo haya yametupa ujuzi wa kisasa, mbinu bora za uzalishaji, na maarifa muhimu yatakayobadilisha kabisa namna tunavyotoa huduma kwa jamii na kwa Taifa.
๐ฅ Tumejipanga zaidi kuliko wakati mwingine wowote:
โ๏ธ Kuongeza ubora wa uzalishaji wa mkaa mbadala.
โ๏ธ Kutumia teknolojia rafiki kwa mazingira.
โ๏ธ Kutoa huduma za kitaalamu, za haraka na zenye matokeo, pamoja na;
โ๏ธ Kuchangia suluhisho endelevu la nishati katika jamii.
Kwetu sisi, hiki ni zaidi ya cheti bali ni hatua mahsusi ya kuboresha maisha, kulinda mazingira, na kuleta suluhisho la nishati endelevu kupitia teknolojia bunifu.
19/11/2025
๐ฟ ๐ช๐๐๐๐ข๐ ๐ ๐ง๐ข ๐๐ฅ๐๐ ๐ข ๐ง๐๐๐!๐ฟ
Today we are excited to share a glimpse of the meaningful work happening behind the scenes! In this photo, our team is hands-on preparing an eco-friendly charcoal briquettes which is clean, affordable and sustainable alternative that protects our environment while supporting local communities.
At our page, you will find stories of innovation, learning, empowerment and practical solutions that make everyday life better. We are passionate about turning simple ideas into real impact, and we are glad to have you here with us.
๐ ๐๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐๐๐ง๐!
๐ณ๐๐'๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐๐๐๐๐
๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐.
Contact the business
Telephone
Website
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when BRAMO Tech Engineering Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.