AJIRA MBOKA

AJIRA MBOKA

Share

Tufollow Instagram and Twitter @ajira_mboka

01/07/2026

Mwezi Mpya umeanza, na huu unaweza kuwa mwezi ambao maisha yako ya kikazi yanabadilika.

CV si karatasi ya kawaida, bali ni nafasi yako ya kwanza ya kujitangaza mbele ya mwajiri. Ikiwa haionyeshi uwezo wako kwa usahihi, unaweza kupoteza fursa hata kabla hujaitwa kwenye usaili.

Sisi tunakusaidia kuandaa:
βœ… CV ya kisasa na ya kitaalamu.
βœ… Cover Letter inayokuvutia mbele ya waajiri.
βœ… Kuboresha wasifu wako ili uwe tayari kwa nafasi mpya za kazi.

Usiseme *nitafanya baadaye.”* Mwaka bado una miezi kadhaa mbele, na nafasi yako inaweza kuja wakati wowote.

Safari yako ya kuelekea kazi unayoitamani ianze leo.

πŸ“© Tuma ujumbe sasa, tukusaidie kuandika CV itakayokufungulia milango ya fursa.

30/06/2026

Waajiri wengi hutumia sekunde chache tu kuamua k**a watakusaili au watapita CV yako. K**a CV yako haijapangiliwa kitaalamu, haionyeshi ujuzi wako vizuri, au haivutii macho ya mwajiri, unaweza kukosa nafasi hata k**a unastahili.

Sisi tunakusaidia:
βœ… Kuandika CV ya kisasa na ya kitaalamu.
βœ… Kuboresha muonekano na mpangilio.
βœ… Kuifanya ivutie waajiri na ipitie mifumo ya uchambuzi wa CV (ATS).

Usikubali CV ikuzuie kufikia kazi unayoitafuta.

πŸ“² Tuma neno "CV" inbox au WhatsApp 0623539429, tuanze kukusaidia leo.

29/06/2026

CV yako ndiyo picha ya kwanza ambayo mwajiri anaiona kabla hajakujua. K**a haijapangiliwa vizuri, unaweza kupoteza nafasi ya kazi hata ukiwa na sifa zote zinazohitajika.

Usianze wiki mpya na CV ya zamani. Iboreshe, ionekane ya kitaalamu, na iongeze nafasi yako ya kuitwa kwenye interview.

βœ… Professional CV Design
βœ… ATS-Friendly CV
βœ… CV Editing & Updating
βœ… Cover Letter (ukihitaji)

πŸ“© Tuma CV yako leo tuanze kuiboresha. Kazi inayofuata inaweza kuanza na CV mpya.

DM sasa au WhatsApp kupata huduma 0623539419

20/05/2026

INTERNSHIP OPPORTUNITIES

DATA ANALYST & RESEARCH WRITING

k**a unasifa tajwa kwenye tangazo na unaishi ARUSHA TU tuma maombi moja kwa moja kwenye email: [email protected]
Address:Writing and business solutions
PO BOX 13713
Arusha

FOR THE POSITION OF
DATA ANALYST AND RESEARCH WRITER

REQUIREMENTS
MUST BE A RESIDENT OF NJIRO ARUSHA

BACHELOR DEGREE IN STATISTICS, PROJECTS ECONOMICS AND MATHEMATICS, SOCIAL SCIENCES OR RELEVANT FIELDS.

STRONG ANALYTICAL, RESEARCH AND WRITING SKILLS

PROFICIENCY IN DATA ANALYSIS TOOLS (EXCEL, SPSS, STATA, PYTHON, ETC.)

ABILITY TO CONDUCT TRAININGS.

HOW TO APPLY
SUBMIT CV, PASSPORTSIZE COPY AND APPLICATION LETTER VIA EMAIL [email protected]

DEADLINE 31TH MAY 2026

THIS IS A PAID INTERNSHIP

11/05/2026

FUCHS CONSTRUCTION – WE ARE HIRING!
Agricultural Project Initiative
We are seeking 200 outstanding students and recent graduates from all universities across Tanzania to join our dynamic Agricultural Project team.
Requirements:
β€’ Strong academic or practical performance
β€’ Good work ethic and willingness to learn
β€’ Readiness to participate in the project
Send your CV/Resume and Portfolio via WhatsApp to:
+255 699 217 521

Photos from AJIRA MBOKA's post 15/04/2026

NAFASI ZA KUJIUNGA JESHI - JWTZ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

05/02/2026

FURSA: Anahitajika mpishi wa jikoni wa hotel anaependa jiko, mwenye uwezo wa kupika breakfast vitafunio aina yote, na vyakula vinginevyo. Hotel ipo maeneo ya kimara s**a, jinsia awe mwanamke umri kwaanzia 23-30

Maombi yanatumwa number hii 0714693623.

20/01/2026

Mchongo πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯

20/01/2026

FURSA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯

Want your business to be the top-listed Recruitment Company in Tabata?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Tabata

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJIRA MBOKA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Tabata.