Musa Jonasi
Page hii nimeifungua kwa Lengo kubwa la kuitangaza injili ya YESU KRISTO na kujengana kiroho Na kimwili. Karibuni sanaaa
We love you more our Lovely Son 😍
10/09/2026
Live Longer Our Lovely Son Dr Adonai.... We
10/09/2026
19/08/2026
Nikiwa na mama yangu mzazi (Mchungaji Yustina Kigolimba) kutokea UramboTabora, ambaye ni Makamu mwangalizi wa Kanisa la TAG SECTION YA URAMBO KUSINI. Amewasili Dodoma kwa ajili ya kuhuzuria Mkutano Mkuu wa wachungaji wote hapa Dodoma... Glory to God
18/08/2026
Imekuwa Baraka sanaa sanaa leo kuonana na na
1. Mwalimu wangu Level
2. Mchungaji wangu,, amenilea sanaa
3. Kwenye harusi yangu alikuwa nami bega kwa bega ,, akajitoa usafiri na akaniendesha free in charge kabisa, hata gari lilipopata hitilafu akalitengeneza bila hata kunipa presha bwana harusi,, duuuh huyu ni zaidi ya ndugu kwangu.
4. Big Brother at our home family..
Asante sanaa Pst Jesse Matosha,,, nashukuru sanaaa sanaaaa kwa upendo wako kwetu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
Itundu
Mzumbe
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Musa Jonasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.