Wesley College
Wesley College is the sustainable choice for higher education in Tanzania. Education for building up the community.
13/09/2026
11/07/2026
Karibu uji unge nasi katika mafunzo ya upigaji picha na utengenezaji wa videos. Gharama zetu ni nafuu kabisa.
09/07/2026
Je we ni mhitimu wa kidato cha nne au cha sita, karibu uji unge nasi katika program zetu kwa gharama nafuu.
03/05/2026
Jiunge nasi katika mafunzo ya lugha ya kiingereza ambapo utafundishwa na wataalamu waliobobea katika lugha za kigeni je unge penda kuwa mjuzi wa lugha ya kigeni wesley college ni chaguo lako.Mafunzo yetu ni ya gharama nafuu,nyote mna karibishwa.
26/04/2026
Wesley College ina watakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya siku ya muungano.
25/04/2026
Je wewe ni muhitaji wa kutaka kujifunza lugha ya kiingereza au kifaransa basi wesley college ni mahala pekee . Kutana na wajuzi walio bobea katika lugha.Karibu ujifunze nasi kwa gharama nafuu. Nyote mna karibishwa.
07/04/2026
Honoring the legacy of Mzee Abeid Amani Karume.His dedication to unity and development continues to inspire generations.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Telephone
Website
Address
161 Uhuru Street
Mwanza
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 16:30 |
| Tuesday | 08:30 - 16:30 |
| Wednesday | 08:30 - 16:30 |
| Thursday | 08:30 - 16:30 |
| Friday | 08:30 - 16:30 |
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Wesley College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.