Warusimbi
Warusimbi is a fast-growing transportation company in Tanzania established in 2020.
With a passion for exploration and a commitment for excellence, Warusimbi provides seamless and personalized travel solutions rooted in professionalism, safety and trust.
Wafanyakazi wanaosimamia shughuli ya usafirishaji wa abiria na mizigo ndio nguvu halisi ya SAMA LUXURY COACH.
Kila safari inayokamilika ni matokeo ya umakini, ushirikiano, nidhamu na kujitolea kwa wataalamu wetu katika kila hatua ya mchakato wa safari.
Kuanzia kukata tiketi hadi kufika unapokwenda, ni watu wetu ndio wanaoendesha ubora wa utendaji, wakihakikisha kila safari inayofanyika inakidhi viwango vya juu vya ubora, uthabiti na umahiri.
Customer Hotline: 0683423435
• Naam, hapa jina ni moja tu! AGENT WARUSIMBI, Afisa Usafirishaji kutoka kampuni ya Mabasi ya SAMA LUXURY COACH.
• Nitakuhudumia kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka jijini Dar-es-salaam kuelekea Mwanza, Songea, Mbinga na mikoa mingine yote, pasina kuwasahau wale wanaosafiri kutoka jijini Mwanza kuelekea mikoa mbalimbali.
• Nipo hapa Urafiki kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 11:30 jioni.
• Nitakuhudumia kwa njia ya whatsapp, meseji au simu kupitia namba 0683423435.
• Karibu sana 😊.
• Ile ndoto ya kuisafirisha Dunia imetia nanga hapa katika viunga vya URAFIKI, jijini Dar-es-salaam.
• Naam, hapa jina ni moja tu! AGENT WARUSIMBI, Afisa Usafirishaji kutoka kampuni ya Mabasi ya SAMA LUXURY COACH.
• Nitakuhudumia kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka jijini Dar-es-salaam kuelekea Mwanza, Songea, Mbinga na mikoa mingine yote, pasina kuwasahau wale wanaosafiri kutoka jijini Mwanza kuelekea mikoa mbalimbali.
• Nipo hapa Urafiki kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 11:30 jioni.
• Nitakuhudumia kwa njia ya whatsapp, meseji au simu kupitia namba 0683423435.
• Nina shauku ya kukuhudumia, karibu sana 😊.
Kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, tafadhali wasiliana na Agent Warusimbi, Afisa Usafirishaji kutoka kampuni ya Mabasi ya SAMA LUXURY COACH.
DAR-ES-SALAAM-MWANZA
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza
DAR-ES-SALAAM-MBINGA
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea
📍Dar->Mbinga
Customer Hotline: 0683423435 | Sms • Call • Whatsapp
Kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, tafadhali wasiliana na Agent Warusimbi, Afisa Usafirishaji kutoka kampuni ya Mabasi ya SAMA LUXURY COACH.
DAR-ES-SALAAM-MWANZA
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza
DAR-ES-SALAAM-MBINGA
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea
📍Dar->Mbinga
Customer Hotline: 0683423435.
Kwa safari za kila siku na za moja kwa moja;
DAR-ES-SALAAM-MWANZA
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza
DAR-ES-SALAAM-SONGEA
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea
Customer Hotline: 0683423435
▫️Leo nimekuwa na ugeni wa bwana Ibrahim Mwenda.
▫️Nikaona angalau tupate ma-2/3 ya miaka kadhaa nyuma.
▫️Sema watu wa afya mnajikutaga sio watu wa maneno...😀.
Customer Hotline: 0683423435
05/05/2026
:By Agent Abdul Warusimbi.
Customer Hotline: 0683423435
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Warusimbi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.