Afri Power Roofing

Afri Power Roofing

Share

Tunaezeka nyumba aina zote kwa Uezekaji wa Kisasa kwa Ufanisi wa hali ya Juu, vilevile tunafunga Ceiling Board, Gypsum board na Milango ya nyumba.

We Make your vision come true. Tunaezeka nyumba aina zote kwa Uezekaji wa Kisasa na Ufanisi wa hali ya Juu, vilevile tunafunga Ceiling Board, Gypsum board na Milango ya Nyumba. tunaweka Urembo mbali mbali kwenye dali (Gypsum Board)

Kampuni lina mafundi wenye Uwezo na Uzoefu mkubwa katika kazi za Uezekaji au Upauaji wa nyumba.

29/03/2026

🚧 Kwa Huduma za Kuezeka Nyumba kwa Ubora wa hali ya Juu!

Tuna:-
🔹 Ezeka Nyumba aina zote
🔹 Repair paa la nyumba yako
🔹 badilisha paa lote
💰 Bei rafiki + Kazi ya uhakika
👉 Usichelewe, nyumba yako inastahili paa bora!

16/03/2026

Unatafuta wataalamu wa kuezeka paa imara na la kudumu? 🏠🔨
Afri Power Roofing tupo tayari kukuhudumia kwa ubora wa hali ya juu! Tunajivunia kuwa waezekaji mahiri wenye uzoefu mkubwa katika kazi za paa.

Huduma zetu ni pamoja na:**
✔️ Ufungaji wa paa jipya
✔️ Matengenezo ya paa
✔️ Ufungaji wa gutters
✔️ Kubadilisha paa lote
✔️ Ukaguzi wa paa
✔️ Ushauri wa kitaalamu

Tuchague leo ujenge kesho salama!
📞 Wasiliana nasi: 0754852873
📍 Mwanza, Tanzania
🌐 www.afripowerroofing.co.tz⁠

13/03/2026

Afri Power Roofing wishing you a blessed and peaceful Friday.

08/03/2026

Afri Power Roofing ni mabingwa na watalaam wa kupaua au kuezeka Nyumba aina zote Residential and Commercial Roofing. Pia tunafanya Repair ya Paa lako na kulipa muonekano mpya wa kisasa. Tunatoa Ushauri wa kitaalam Bure.
📞 0754852873
Email [email protected]

Photos from Afri Power Roofing's post 10/01/2022

Anaitwa Eugene Milka ni binti kutoka Kisumu Kenya 🇰🇪 ni mtaalam au fundi mahiri wa kubandika Tiles/Vigae vya nyumba. Katika picha hapo ni baadhi ya kazi zake ambazo zinajionyesha kafanya zikiwa ni maridadi kabisa. Mawasiliano yake ni +254707234276.

Wanawake jitumeni acheni kubagua Kazi. 🙏

09/01/2022

Afri Power Roofing ni Wataalamu wa kuezeka/Kupaua nyumba mahiri waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa.

Our Services:-
◾Tunaezeka/kupaua nyumba aina zote kwa uezekaji wa kisasa.
◾Tunafunga Ceiling & Gypsum board.
◾Tunatengeneza makabati ya jikoni na ya Vyumbani yenye muonekano mzuri.
◾Tunatengeneza milango mizuri ya mbao kwa bei poa.
◾Tunafanya ukarabati/Repair wa Paa za zamani na kuzifanya zirudi katika muonekano mpya.
◾Tunapaka rangi ndani na nje ya Nyumba.
◾Tuna design marembo/Maua mazuri ya Dali lako.
◾Tunatoa Ushauri wa kitaalamu bure.

Wataalamu wetu wanauzoefu na Ufanisi mkubwa katika tasnia hii (Professional Roofers)

Usisahau kuffollow na ku-Like kurasa zetu kwa updates kibao.

Weka booking yako sasa tupigie simu no. Call/WhatsApp

0754852873
0752102240
0717690224

au Email: [email protected]

Tunakufuata popote ulipo Tanzania & East Africa.

05/01/2022

Afri Power Roofing ni waezekaji wa nyumba mahiri waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa.

Our Services:-
◾Tunaezeka/kupaua nyumba aina zote kwa uezekaji wa kisasa.
◾Tunafunga Ceiling & Gypsum board.
◾Tunatengeneza makabati ya jikoni na ya Vyumbani yenye muonekano mzuri.
◾Tunatengeneza milango mizuri ya mbao kwa bei poa.
◾Tunafanya ukarabati/Repair wa Paa za zamani na kuzifanya zirudi katika muonekano mpya.
◾Tunapaka rangi ndani na nje ya Nyumba.
◾Tuna design marembo/Maua mazuri ya Dali lako.
◾Tunatoa Ushauri wa kitaalamu bure.

Wataalamu wetu wanauzoefu na Ufanisi mkubwa katika tasnia hii (Professional)

Usisahau kuffollow na ku-Like kurasa zetu kwa updates kibao.

Weka booking yako sasa tupigie simu no. Call/Whatsapp
0754852873
0752102240
0717690224

au Email: [email protected]

Tunakufuata popote ulipo Tanzania & East Africa.

Photos from Afri Power Roofing's post 24/11/2020

: Tuna-Design na kutengeneza Kitchen Cabinets (Makabati ya Jikoni) yenye viwango na ubora wa hali ya juu kwa bei poa.

Like ukurasa wetu kisha tupigie simu namba 0754852873 call/Whatsapp au Email address : [email protected] kwa maswali, ushauri na kufanya booking.

"We make your vision come true"

Photos from Afri Power Roofing's post 21/11/2020

: jipatie milango bomba ya mbao kwa ajiri ya Nyumba yako kwa gharama nafuu.

Like ukurasa wetu kisha wasiliana nasi kupitia simu No.0754 852 873 kuweka oda yako sasa.

Made by Afri Power Roofing

17/11/2020

Project hii ni Dar es Salaam Mtaa wa Geza Ulole.
K**a kawaida ni wale wale wakali wa hizi mambo Afri Power Roofing waezekaji wa nyumba waliobobea sasa. Call us 0754852873 or Email : [email protected]

Photos from Afri Power Roofing's post 15/11/2020

Kutoka Buswelu Ni Afri Power Roofing tena, waezekaji wa nyumba mahiri waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa. Usisahau kuffollow na ku-Like kurasa zetu kwa updates kibao.

Weka booking yako sasa tupigie simu no. 0754852873 au Email: [email protected]
Tunakufuata popote ulipo Tanzania.

Photos from Afri Power Roofing's post 12/11/2020

Gypsum Decorations Designing:
Afri Power Roofing: Tunatengeneza dari za Gypsum boards kwa mitindo mbalimbali mizuli na ya kisasa kwa bei nafuu kabisa, utachagua design zetu au ya kwako unayoipenda. Tutakufikia popote ulipo iwe Tanzania bara au Zanzibar. Wasiliana nasi kwa simu no. +255754852873.
Au barua pepe:-
[email protected].



"We make your vision come true"

Want your business to be the top-listed Contractor in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afri Power Roofing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mwanza.