JAMII FM RADIO

JAMII FM RADIO

Share

JAMII FM ni kituo cha redio cha kijamii kilichoanza kutoa huduma mwezi Septemba 2016 kwa lengo la kuwapa jamii jukwaa la kuzungumzia maendeleo yao.

JAMII FM RADIO haitawajibika kwa maoni yatakayotolewa yenye kukiuka sheria za nchi. JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflects community livelihood including people with special needs. Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production. JAMII FM RADIO gives voice to the voiceless. Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media. Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development. Location
JAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute. Coverage:
JAMII FM RADIO owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique. Programme Schedule
0600 – 1000hrs – Dira ya Asubuhi
1000 – 1300hrs – Kapu la Jamii
1300 – 1600hrs – Mchakamchaka
1600 -- 1610hrs – Habari (News Bulletin)
1610 – 1800hrs – Sauti ya Jamii
1800 – 1900hrs – Radio France International (RFI)
1900 – 1910hrs – Habari (News Bulletin)
1910 – 2000hrs – Dimba la Michezo (Sports)
2000 – 2100hrs – Makala Maalum
2100 – 2200hrs – Usiku Mwema
2200 – 0000hrs – Love Boat
0000 – 0600hrs – Music Mix

Location
https://www.google.co.tz/maps/place/Jamii+Fm+Radio/@-10.3559624,40.1615128,17z/data=!3m1!4b1!4m5!3m4!1s0x188d5a1f07878dd3:0x3a55ced2bafdf73e!8m2!3d-10.3559624!4d40.1637015?hl=en&hl=en

26/09/2026

Wananchi wa Mkoa wa Mtwara wametakiwa kusalimisha silaha haramu wanazozimiliki kinyume na sheria kutona agizo Ła Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Petrobas Katambi.

Wito huo umetolewa leo Septemba 25,2026 na Mkaguzi wa polisi Maganga Mapalala wakati wa mahojiano katika kipindi cha Dira ya asubuhi, Jamii FM Redio Mtwara.

Amesema kila mwananchi anayemiliki silaha kwa kuirithi au isiyokuwa na vibali au k**a mmiliki amepoteza sifa alizokuwa nazo wakati anamilikishwa wote hao wanatakiwa kusalimisha silaha hizo katika ofisi za mitaa ofisi za mkuu wa wilaya na ofisi ya mkuu wa mkoa na ama kuzipeleka katika vituo vya Polisi vilivyokuwa karibu yao.

Aidha amewataka wananchi hao kutekeleza agizo hilo kwani kampeni hiyo nikuanzia tarehe 01.09.2026 mpaka tarehe 31.10.2026 na baada ya hapo atakayekutwa na silaha haramu atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Mwisho amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu bila woga ili kukomesha vitendo hivyo.
Polisi Tanzania

10/09/2026

Bandari ya Mtwara imejipanga kusafirisha zaidi ya tani laki tano na nusu za korosho kwa ufanisi mkubwa katika msimu wa mwaka 2026/2027 ikiwa ni matokeo makubwa ya uwekezaji uliofanywa na serikali katika bandari hiyo.

Bandari ya Mtwara lango kuu la uchumi wa taifa kwa ukanda wa kusini, uwekezaji wa gati, mitambo ya kisasa na rasilimali watu ya kuhudumia shehena katika bandari hii umetoa matokeo chanya.

Wadau wa zao la korosho wanaotumia bandari hii kwa kiasi kikubwa wamekutana Leo Septemba 10, 2026 katika Ukumbi wa Banki kuu ya Tanzania tawi la Mtwara, lengo la kikao hicho ni kujadili usafirishaji wa zao la korosho katika msimu wa mwaka 2026/2027 ambapo bandari hii imejipanga kusafirisha zaidi ya tani laki tano na elfu hamsini kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa.

Bodi ya korosho nchini inaeleza kuwa uzalishaji unaweza kuwa mkubwa kufia zaidi ya tani laki saba na kutokana na uwepo wa tishio la uwepo wa mvua za El nino bodi inajipanga kutoa kibali cha kusafirisha korosho kwa saa ishirini na nne.

TPA Tanzania Port Authority

09/09/2026

Mkurugenzi wa Jamii FM Radio, Swallah Saidi wa pili kutoka kushoto, ameungana na baadhi ya wafanyakazi wa Jamii FM Radio – Mtwara kumfariji mfanyakazi mwenzao, Msafiri Kipila, aliyefiwa na baba yake mzazi, Mzee Hamisi Kipila.

Mzee Hamisi Kipila amefariki dunia jana, Jumanne, Septemba 8, 2026, katika Hospitali ya Kanda ya kusini Mtwara alipokuwa akipatiwa matibabu mwili wa marehemu umezikwa leo, Septemba 9, 2026, katika Makaburi ya Chemchem, Mitengo, Mtwara Mjini.

Jamii FM Radio inatoa pole kwa Msafiri Kipila pamoja na familia yote ya Mzee Hamisi Kipila. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

08/09/2026

KAMATI YA KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU MKOA WA MTWARA WAPANGA MPANGO KAZI.

Kamati ya Kuzuia na kupambana na Usafirishaji haramu wa Binadamu Mkoa wa Mtwara wamekutana na kupanga Mpango kazi wa kutoa elimu kwa wananchi ili kuzuia na kutokomeza vitendo hivyo.

Akizungumza kwa niaba ya k**ati kwenye kikao kilichofanyika Septemba 07, 2026 katika Ukumbi wa Hotel ya Luwa Evergreen Mkoani Mtwara, Mwenyekiti wa k**ati Pascal Kapinga amesema, kwasasa watajikita zaidi kwenye kutoa elimu hasa ya Usafirishaji haramu wa Binadamu ni nini na Unawezaje kutokea kwenye Jamii zinazotunguka.

Kapinga ameongeza kuwa Matukio haya yapo kwenye Jamii zetu ila watu wanashindwa kufahamu au wanafahamu k**a wanafanya makosa ya Usafirishaji haramu wa Binadamu, hivyo jukumu la kwanza la k**ati ni kwenda kutoa elimu kwa Umma na kuhakiksha Kila mmoja anakuwa mlinzi wa mwenzake katika kutokomeza.

Kapinga amesema, k**ati inatoa nafasi kwa mwananchi yeyote ambae ana Taarifa au fununu za usafirishaji haramu wa Binadamu asisite kutoa taarifa kwenye Kituo chochote cha Polisi au kwenye ofisi za Serikali kuanzia ngazi ya kitongoji, Mtaa, kata Hadi kwenye ofisi za Halmashauri.

Kamati hiyo ya Kuzuia na kupambana na usafirishaji Haramu wa Binadamu inayojumuisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Serikali na wadau wengine muhimu imeundwa na Sekretarieti ya kupambana na usafirishaji Haramu wa Binadamu (ATS)iliyoko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Community Volunteers for the World (CVM) kwahisani ya watu wa Italia.


#

06/09/2026

Boss kasema

Photos from JAMII FM RADIO's post 05/09/2026

Wafanyakazi wa Jamii FM radio Leo wamekata keki katika studio zao ikiwa ni furaha ya kutimiza miaka 10 ya kutoa huduma kwa Jamii.

Akizungumza kwa njia ya simu Mkurugenzi mtendaji Ndugu Said Swallah, amesema ni "ilikuwa safari ndefu yenye mabonde na milima lakini tumeweza kutoa huduma ambayo imesaidia Jamii katika kuelimisha, kuhabarisha na kuimarisha Jamii yenye kuwasiliana kupitia redio"

"Katika kuhakikisha tunaendelea kutoa huduma Bora, bado tutaendelea kuboresha miundombinu muhimu pamoja na vipindi ili kuwezesha huduma Bora kufika kwa Jamii tunayoihudumia" Alisema Swallah

Pamoja na hayo Mkurugenzi amewashukuru wadau wa maendeleo kwa kufanya kazi bega kwa bega na Jamii FM na tunaposherehekea miaka 10 maana yake wamekuwa sehemu ya mafanikio hayo.

Ikumbukwe kwamba kituo hiki cha kijamii kinapatikana kata ya Naliendele Mkoa wa Mtwara ambapo redio imekuwa ikizalisha vipindi kuhusu wanawake na watoto, Gesi na Mazingira, Watu wenye mahitaji maalumu (Walemavu) pamoja na Kilimo cha zao la Korosho.

Ahsante VIKES Viestintä ja kehitys -säätiö , UNESCO Dar Es Salaam Office , TADIO NSSF Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (MICAS) Finland in Tanzania U.S. Embassy Tanzania Embassy of Finland in Dar es Salaam - Suomen suurlähetystö Dar es Salaam

05/09/2026

Jamii FM radio imetimiza miaka 10 tangu kuanza kurusha matangazo yake mwaka 2016.

Happy universary Jamii FM

03/09/2026

Proudly to work together

Onnittelut Vikesin kumppaniradiokanavalle Jamii FM:lle Tansanian parhaan yhteisöradion palkinnon johdosta! 💐 🇹🇿

Palkinto luovutettiin uutispäällikkö Musa Mtepalle Tansanian cashewpähkinäviraston vuosijuhlassa Morogorossa.

Jamii FM on tuottanut tänä vuonna lukuisia cashewpuiden hoitoa ja cashewpähkinöiden markkinointia käsitteleviä opetusohjelmia, radiodokumentteja ja keskusteluohjelmia.

Tansania on maailman kolmanneksi suurin cashewpähkinöiden tuottaja. Jamii FM:n kuuluvuusalueella Mtwarassa cashewpähkinöiden tuotanto on tärkein yksittäinen elinkeino.

Jamii FM juhlii syyskuussa myös kymmenvuotisjuhliaan. Kanavan lähetystä voi kuunnella Tansanian yhteisöradioportaalista: https://radiotadio.co.tz/jamiifm.

Serikali yataka Tanzania kuwa kinara wa uzalishaji wa Korosho Duniani 27/08/2026

Serikali yajiandaa kwenye Korosho kwa ngazi ya Duniani

Serikali yataka Tanzania kuwa kinara wa uzalishaji wa Korosho Duniani Serikali imewataka wadau wa korosho kuweka mikakati ya kuongeza uzalishaji na tija ili Tanzania iwe kinara duniani, huku ikisisitiza kupunguza gharama za uzalishaji na kuhakikisha wakulima wanalipwa kwa usahihi na kwa wakati Na Musa Mtepa Serikali imewataka wadau wa zao…

Bi Ummy alalamikia mgogoro wa umiliki wa Nyumba 14/08/2026

Umiliki wa nyumba wawa gumzo

Bi Ummy alalamikia mgogoro wa umiliki wa Nyumba Ummy Mohamedi Fadhili, mkazi wa Ding’wida, Mtwara, amelalamikia kunyimwa nyumba aliyodai ilinunuliwa kwa fedha alizopata baada ya kuuza nyumba yake ya Tandahimba, akisema mzazi mwenzake anadai ni mali ya mtoto wao Na Mwanahamisi Chikambu Mwanamke mmoja, Ummy Mohamedi Fadhili, mkazi…

Want your business to be the top-listed Media Company in Mtwara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Naliendele, Mtwara/
Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAMII FM RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mtwara.