Find computer training in Morogoro. Listings include Bigwa Folk Development College, mikakenyata.ict, Thinn Computer and Data Solutions.
eKuku sasa imebadilika na kuwa e-Livestock auction app. Ni app mpya na ya kisasa kwa ajili ya kuwaunganisha wafugaji mifugo yote na wanunuzi moja kwa moja kidigitali. Ni ya Kiswahili, na ni bure. Bando lako tu
CMW Bigwa Kinatoa elimu kwa wananchi ili waweze kupata maarifa, ujuzi na umahiri katika matumizi ya rasilimali zilizopo na kutawala mazingira ili kuleta maendeleo ya haraka kisiasa...