Mufindi tv
Tutunze misitu na uoto wa asili kwa kizazi kijacho tusichome moto
20/07/2022
HOT NEWS
Together we can
19/04/2022
follow Page yetu Mufindi tv ujipatie taarifa mbalimbali ,,karibu utangaze biashara na Mufindi tv
Condegang for life ,,follow me to get great something
Nawashukuru wote mnaoendelea kulike ukurasa wetu pendwaa
Naipend yanga kwa sababvmm n shabiki wa kweli ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽🏎
Hellow Tanzania ni msimu ambao tunaelekea mwishoni mwa mwaka. Watu tulipanga kufanya mambo makubwa.bas ussite bad hajachelewa.cha kufanya chukka mapungufu yote uliyofanya mwaka 2019 na kuyafanyia kaz upya ndipo utkapo ona mafanikio
Kalibuni wadau wang wa iringa na Tanzania nzima kusapot blog yang kwa kutuma picha mbalimbali na kulike TV yetu.tuma picha za misitu mabonde milima uoto wa asili, mbuga za wanyama mito kuutangaza iringa na Tanzania kwa ujumla hadi dunia nzima
Habarini wapendw ninajamb moja LA kuzungumza pia na hasara za misitu,licha Yakuwa misitu inafaid nyng mno na hasara zake pia zpo K**a ifuatavyo 1.kuongezeka kwa maambukiz ya virusi vya ukimwi uchafuzi wa mazingira ongezeko LA watoto yatima,, pia misitu ni chanzo cha makaz kwa wanyama wa Kali Kma simba ambao n hatali kwa binadam,,, asanten
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Mufindi tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.