SAMBAWIY TV
🎥 Sambawiy TV
📖 Dini ya Kiislamu kwa maisha ya leo
🧠 Maamuzi • Imani • Maisha
🔔 Fuata ujenge imani yako kwa vitendo
🌍 Nuru kwa Umma
Habari yako karibu katika channel pendwa ya SAMBAWIY TV
Lengo ni kukufikishia habari burudani na elimu mbalimbali zinazohusu dini yetu na jamii yetu kwa ujumla
saport yako ni muhimu kwa kufatilia ku like kushare ku commnt na ku subscribe
ahsante karibu!!
DUNIA SIO YAKO JENGA AKHERA YAKO
Wewe UTACHAGUA nini Kati ya MSAHAFU na kitita Cha PESA?
KABURI LINALOWAKA MOTO LAFUKULIWA
Inasemekana KUWA sababu hiyo inatokana KUWA mungu ameanza kumuadhibu MAPEMA marehemu
Allah atupe mwisho mwema
ADHABU watakazo pewa wanawake WENYE SIFA HIZI
Elimika nasi sambawiy tv
Inasemakana tukio walilolifanya la kuchoma misikiti na KUWAPIGA WAISILAMU ndio majibu ya hili
NEPAL: CHUKI ZA KIDINI DHIDI YA UISLAM NA KUCHOMA MISIKITI NA KUWAFUKUZA WAISLAM IMETAFSIRIWA KυWA ΝΙ ΜΑJIBU YA ALLAH
JULAI 26
Mvutano mkubwa wa kidini ulizuka nchini Nepal tarehe 26 Julai 2026, katika eneo la Dewanganj, wilayani Sunsari, baada ya mgogoro kati ya makundi ya Wahindu na Waislamu kuhusiana na maandalizi ya msafara wa kidini wa Bol Bam, matumizi ya vipaza sauti pamoja na masuala ya bendera za kidini. Mzozo huo uligeuka kuwa vurugu kubwa na kusababisha polisi kutumia risasi kuwatawanya waandamanaji.
KILICHOTOKEA SASA
Mafuriko makubwa ya ghafla yameikumba Nepal na maeneo ya Tibet baada ya kuanguka kwa barafu/glacier katika Milima ya Himalaya, jambo lililosababisha kiasi kikubwa cha maji, mawe na matope kushuka kwa kasi kwenye mito. Tukio hilo lilitokea 26 Agosti 2026 katika maeneo ya mpakani mwa Nepal na Tibet.
Mafuriko hayo yameathiri zaidi maeneo ya Rasuwa, Nuwakot na Dhading nchini Nepal. Nyumba, barabara, madaraja, vituo vya umeme na miundombinu mingine imeharibiwa vibaya.
Kwa taarifa za 28 Agosti 2026, idadi ya waliofariki upande wa Nepal imefikia zaidi ya 500, huku mamia hadi zaidi ya watu 1,000 wakiwa bado hawajulikani walipo. Upande wa Tibet pia kuna vifo na watu wengi waliopotea. Idadi bado inabadilika kutokana na shughuli za uokoaji zinazoendelea.
Jambo kubwa linalowafanya waokoaji kuwa na wasiwasi ni kwamba ziwa lililozuiwa na maporomoko ya ardhi limejitengeneza katika mkondo wa maji. Likivunjika, linaweza kusababisha wimbi
jingine la mafuriko
Follow page hii kwa apdate nyingi zaidi za kidini
I got over 1,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉
Wasoma MAULIDI Kuna ujumbe wenu Shekh izzudn
Wanaokata viuno maulidini waapigwe viboko Shekh izudin
Mama aa Shekh Walid AVUNJA UKIMYA WATU wabaya WENYE Nia mbaya
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Kariakoo
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when SAMBAWIY TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.