Qiblatainfm

Qiblatainfm

Share

Redio ya kiislamu toka nyanda za juu kusini mwa Tanzania

Redio qiblaten fm kutoka iringa tanzania kwa kubonyeza kitufe cha like utakuwa pamoja nasi kujuzwa matukio mbalimbali yanayo jiri katika studio zetu, unaweza kutoa maoni na michango kwa ajili ya maendeleo ya redio yetu.

Kipi Ukitangulize na Kipi ukicheleweshe ndani ya Ramadhani | Sheikh Shams Elmi 25/03/2023

https://youtu.be/yFRdtSY57w8

Kipi Ukitangulize na Kipi ukicheleweshe ndani ya Ramadhani | Sheikh Shams Elmi Darsa la HadithKitabu: Riyaadh SwaalihiynMlango wa Tawbah | Sehemu ya Sita (7)Mwandishi: Imaam Nawawiy (Abuuzakariyyah Yahya ibn Sharaf) ...

26/02/2023

Hukumu ya Mwenye kukanusha juu ya Swaum ya Ramadhan, na kwamba sio lazima yeye kufunga.
Huyu hukumu yake ni tofauti na yule asiyefunga Mwezi wa Ramadhan kwa uvivu tu bila kukanusha kuwa ni wajibu yeye kufunga.

Darsa hizi za masuala ya sheria mbalimbali za uislamu zinapatikana kwenye Youtube Channel yetu kwa ukamilifu wake.

Youtube: https://youtube.com/playlist?list=PLLdtzkmGr4mbJOG5HpwuPg9sB88iDVoDg

09/02/2023
Thamani ya Wazazi wawili | Sheikh Shaaban Sendwa 03/02/2023

https://youtu.be/IE9eV5s1BcA

Thamani ya Wazazi wawili | Sheikh Shaaban Sendwa Khutba ya IjumaaMasjid: Abubader - Wilolesi, IringaKhatwibu: Sheikh Shaaban Sendwa

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Wilolesi
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Qiblatainfm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Iringa.