Apolo mitumba store
We sale best thrift products in one store, all gender , all age groups! "Let us show you the true meaning of mitumba grade one."
used clothing, handbags, toys, shoes and household items at a reasonable price.We do deliveries in and outside the country.
NEW‼️NEW‼️NEW‼️
Jeans size 8
18,000/=
DM/Whatsap +255 766 904 525
DM📩
Whatsap +255 766 904 525
QualityMtumba HomeStyle
BIG SALE EVER!!!
Chagua, Lipia, pokea🥳
Usikubali ikupite hii!
Masimu wa vacation haupo mbali , usijejutia!
🛑Zipo chache sana.
08/09/2026
Ladies, hii hapa sasa kubwa kabisa
Scarf 4 kwa TSH 10,000 tu! 🔥🔥
Chagua designs zako 4
Quality, classy & easy to style
🛑Stock ni limited
Whether unataka kuongeza touch ya elegance kwenye outfit yako au unatafuta gift nzuri kwa mtu wako — hii deal usiipitishe!
📩 DM/WhatsApp ku-order
🛍️ Apolo_mitumba store
05/09/2026
Comment namba ya blouse unayoitaka uipate hadi zaidi ya nusu bei….‼️‼️‼️
Fanya malipo , subiria kuiipokea na kuivaa.
💃💃💃
03/09/2026
🔥 SEPTEMBER CLEARANCE SALE — HII NI ZAIDI YA MNADA! 🔥
Kwa wenye watoto, hii ni fursa ya kujazia wardrobe ya mtoto kwa pamoja . Unapata mchanganyiko mzuri wa nguo za quality/Grade 1 kwa bei iliyoshuka, badala ya kununua item moja moja kwa bei kubwa.
💼 Wafanyabiashara pia msipitwe! Nunua kwa BULK, pata bidhaa nzuri kwa bei rahisi na save zaidi — nafasi nzuri ya kupata stock na bado ukaacha room ya faida. 🔥
Tunauza ONE BY ONE au BULK
Bidhaa ZOTE ziko kwenye SALE — UP TO 50% OFF!
⚠️ FIRST ORDER, FIRST SAVED!
Tafadhali hakikisha cards na accounts zako za mobile money ziko loaded 💳📲 kwa sababu ukichelewa kulipa, bidhaa inaweza kuchukuliwa na mwingine.
Usiangalie tu… CHAGUA, LIPA & SAVE! 😍🔥
📩 DM/WhatsApp ku-order sasa.
APOLO MITUMBA STORE — Tupo kwaajili yako
03/09/2026
🔥 SEPTEMBER CLEARANCE SALE — HII NI ZAIDI YA MNADA! 🔥
Kwa wenye watoto, hii ni fursa ya kujazia wardrobe ya mtoto kwa pamoja . Unapata mchanganyiko mzuri wa nguo za quality/Grade 1 kwa bei iliyoshuka, badala ya kununua item moja moja kwa bei kubwa.
💼 Wafanyabiashara pia msipitwe! Nunua kwa BULK, pata bidhaa nzuri kwa bei rahisi na save zaidi — nafasi nzuri ya kupata stock na bado ukaacha room ya faida.
🛍️ Tunauza ONE BY ONE au BULK
Bidhaa ZOTE ziko kwenye SALE — UP TO 50% OFF!
⚠️ FIRST ORDER, FIRST SAVED!
Tafadhali hakikisha cards na accounts zako za mobile money ziko loaded 💳📲 kwa sababu ukichelewa kulipa, bidhaa inaweza kuchukuliwa na mwingine.
Usiangalie tu… CHAGUA, LIPA & SAVE! 😍🔥
📩 DM/WhatsApp ku-order sasa.
APOLO MITUMBA STORE — Tupo kwaajili yako
🔥 KIDS SALE — HADI 50% OFF! 🛍️✨
Quality nzuri. Designs nzuri. Bei tu ndiyo imeshuka! 😍
Tumepunguza bei za nguo za watoto hadi 50% OFF — nafasi nzuri ya kuwavisha watoto wako vizuri kwa bei rafiki. 💕👗👕🧥
⏰ SALE inaishia Jumapili, 30/08/2026.
📌 Jinsi ya ku-order:
Ukipenda nguo yoyote, lipa kwanza, kisha tutumie message/screenshot ya muamala kwa confirmation. Baada ya malipo kuthibitishwa, nguo itawekwa pembeni kwa ajili yako.
Usipange kukosa hii
QualityKidsWear KidsClothes Mwanza
1.HOODIE
Hii inafaa kwenye baridi kali hasa likiwa nzito kwa sababu linafunika kichwa na shingo pia.
Ndani anavaa tshirt au hata simple round sweater na hii anaiweka kwa juu.
Nzuri sana kwa safari, shuleni msimu wa baridi kali
2.CARDIGAN
Hii inafaa kwa siku zenye baridi ya wastani na hasa k**a inatarajiwa hali ya hewa kubadilika kuwa ya joto baada ya muda .
Inaweza valiwa juu ya nguo katamikono, tshirts n.k
Inafaa sana asubuhi na hasa kwa mitoko , kanisani na casual wear.
3.LIGHT WEIGHT PULLNECK
Inafaa kwenye baridi kidogo, anaweza vaa bila kitu chochote ndani kwenye mitoko ya shuleni, kanisani au familia
4.SWEATER VEST
Inafaa siku isiyo na baridi sana.Inakinga kifua na mgongo hivyo ni nzuri kwa watoto wanaopanda bodaboda, wanaokaa vyumba vyenye AC , anaweza vaa juu ya nguo au hata sweta jingine.
Inakubalika k**a uniform shuleni au kuongeza look yake akiwa anatoka tuu.
5.CARDIGAN WITH BUTTONS
Nik**a namba 2 hapo juu ila hii anaweza kufunga na kufungua vifungo.
6.2in 1 PULLOVER
Inafaa wakati wa baridi ya wastani, anaweza akavaa na vest peke yake ndani .
Inafaa kwa casual outings
7.PULLOVER
Ikiwa nzito vizuri inafaa hata wakati wa baridi kali.
Anaweza valia nguo ngingine ndani .
8.CRICKET SWEATER
Unafaa wakati wa baridi ya wastani au kuvaa ndani ya sweater jingine k**a hood .
Nzuri kwa shuleni, casual outings n.k
Inapendeza sana akivaa na shati na kutoa kola ya shati kwa
Tuambie kwenye comment size ya mtoti wako, mahali alipo na unataka kwaajili ya kuvaa wapi nasi tutakusaidia kukushauri au kukuuzia sweta ambalo analihitaji.
Kwa ujumla categories kuu za dolls ni:
* Baby Dolls – watoto hujifunza malezi na huruma.
* Soft/Plush Dolls – salama zaidi kwa watoto wadogo na hutoa comfort.
* Fashion Dolls – k**a Barbie; huboresha ubunifu na role play.
* Character Dolls – wadoli wanaowakilisha wahusika mbalimbali.
* Interactive/Electronic Dolls – wanaongea, wanaimba au kufanya vitendo mbalimbali.
* Collectible Dolls – kwa kukusanya zaidi kuliko kuchezea.
DM au whatsap kwa maelezo zaidi au kujipatia mdoli anaefaa kwaajili ya mtoto wako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Mwanza
Dar Es Salaam
255742670760
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Apolo mitumba store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.