Holy Cross Family Ministries Tanzania
Promoting and supporting the spiritual well-being of the family.
Holy Cross Family Ministries is a family of catholic ministries that inspires, promotes and fosters the prayer life and spiritual well-being of families throughout the world
03/06/2026
Kwa Mioyo ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu, tumehitimisha Safari ya Mama katika Parokia parokia ya Mt .Anton wa Padua , Chemchem na Parokia na Mt.Petro na Paulo mtume Rhotia Kainam, safari ya sala kwa maombezi ya Mama Bikira Maria kwa ajili ya kuombea amani, upendo na umoja katika familia zetu.
Tunawashukuru wote walioshiriki katika safari hii ya kiroho. Tuendelee kujikabidhi kwa Mama Maria, akiendelea kutuombea ili familia zetu ziwe chemchemi ya amani na Umoja katika sala.
🙏 Mama Maria, Malkia wa Familia, utuombee.
Family Rosary Hcfm Tanzania @holycrossfamilyministries
03/06/2026
Leo tunakumbuka Kifo cha Pd. Patrick Peyton, mwanzilishi wa Utume wa Familia wa Shirika la Msalaba Mtakatifu Ulimwenguni.
Aliyefariki tarehe k**a ya leo mwaka 1992, na maneno yake ya mwisho yalikuwa: "Maria, Malkia wangu na Mama yangu."
Today, we commemorate Fr. Patrick Peyton’s Death.
He died peacefully on June 3, 1992, his final words were: “Mary, my Queen, my Mother.”
We continue to pray for his beatification.
Family Rosary Hcfm Tanzania
02/06/2026
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha..... mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" ~Mathayo 11:28 - 30 /
"Come to me, all you who labor and are burdened, and I will give you rest...
Learn from me, for I am meek and humble of heart.”
~Matthew 11:28 - 30
Family Rosary Holy Cross Family Ministries
See less
"Sala yenye nguvu ipo mikononi mwako" - Venerable Patrick Peyton CSC
Family Rosary
29/05/2026
Mama Maria hasiti kuingia katika familia inayomwita kwa sala ya Rozari Takatifu, kupitia maombezi yake familia hupata faraja katika huzuni, umoja katika migawanyiko, na tumaini katika nyakati ngumu na kustawi.
"Familia Inayosali Pamoja, Huishi Pamoja" - Padre Patrick Peyton CSC.
https://youtu.be/_79iUnCs65Q?si=aJAktNVOJHFI-o5K
Family Rosary Holy Cross Family Ministries
NAFASI YA BIKIRA MARIA KATIKA USTAWI WA FAMILIA “Mama Maria hasiti kuingia katika familia inayomwita kwa sala ya Rozari Takatifu, kupitia maombezi yake familia hupata faraja katika huzuni, umoja katika mig...
26/05/2026
Family Rosary
26/05/2026
Tuzikusanye familia zetu mbele ya Mungu kwa kusali sala ya Rozari Takatifu ili ziwe na upendo, amani na ulinzi.
"Familia Inayosali Pamoja, Huishi Pamoja" - Padre Patrick Peyton CSC.
Family Rosary Holy Cross Family Ministries
See less
24/05/2026
“Roho Mtakatifu tujaze amani, hekima, na nguvu ya kuwa mashahidi wa Kristo katika maisha yetu ya kila siku.”
22/05/2026
“Hata yasiyowezekana huchanua kupitia imani.”
“Even the impossible blooms through faith.” — St. Rita of Cascia
Family Rosary
19/05/2026
“Maisha ya Watoto wa Fatima: Mfano kwa Watoto wa Familia za Sasa”
đź“… Siku: Jumatano
⏰ Muda: Saa 4:00 asubuhi hadi Saa 5:00 asubuhi (10:00am – 11:00am)
đź“» Kupitia: Amani Radio Fm - Arusha
Usikose kipindi hiki chenye mafundisho na hamasa kwa watoto, wazazi, na familia zote.
Tutatafakari jinsi watoto wa Fatima walivyoishi maisha ya sala, utiifu, maadili mema, na kumtegemea Mungu na namna gani watoto wa leo wanaweza kujifunza kutoka kwa ushuhuda wao.
“Watoto wa leo wakimjua Mungu mapema, jamii ya kesho itakuwa na tumaini.” 🙏
Family Rosary
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Telephone
Website
Address
Arusha