Al Jazeera Cargo - Oman
We are pioneer in Cargo services around Middle East and East Africa, Oman to Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi & Rwanda. Oman To Dubai and return.
Enjoy the best service, customer care and reliable partnership. Our customer is our partner.
Tukiwa sehemu ya kumkaribisha Sheikh Alhadi M***a Saalim nchini Oman, tuliweza Kula pamoja chakula. Cha Usiku na kufanya mashauriano mbalimbali ya masuala ya kidini.
Licha ya changamoto za Kivita vya Iran na Mareni zilizompelekea kuzorota usafiri wa bidhaa kutoka na kuingia Mashariki ya kati, tunahakikisha mizigo ya wateja wetu inatoka na kufika kwa namna yyte Ile na usalama wa hali ya juu..
Wasiliana nasi tukusafirishie mizigo yako kutoka Dubai..
Al Jazeera Cargo Mizigo yako ni Amana Kwetu Tunakuthamini..
Ni mtindo wa kivyengine..
Sasa tunazidi kukukaribishia huduma muhimu..
Daima Al Jazeera Cargo, wewe mteja wetu ni Amana Kwetu na tunakuthamini...
Endelea kuwasiliana nasi kwa WhatsApp No. +96877362082.
🇧🇮 🇷🇼️ 🇴🇲
Al Jazeera Cargo, tunakuletea huduma ya Express kutoka Oman kwenda Afrika Mashariki..
Huduma Nafuu na rafiki kwa Express..
Daima, Al Jazeera Cargo ni Amana Kwetu na tu akuthamini..
🇰🇪 🇹🇿 🇷🇼️ 🇷🇼️
Mzigo wako ni amana kwetu na Tunakuthamini..
Tunasema angalia umakini wa kampuninunayotumisha mizigo yako..
Al Jazeera Cargo, kwetu Customer care, Muda kujali na kuthamini hiyo ni Amana kwetu na ndio msingi wa uendeshaji wa Kampuni yetu.
🇰🇪 🇧🇮 🇹🇿 🇴🇲 🇷🇼️
Sasa tunakuja kivyengine..
Kaa tayari..
Daima tunajali na tunathamini..
Container yetu ya June/July 2026 ndio imewasili na wateja wetu wa file ofisi zetu Kupokea Mizigo Yao..
Al Jazeera Cargo, Mizigo yako ni Amana na Tunakuthamini..
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Al-Sib
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 22:00 |
| Tuesday | 08:00 - 22:00 |
| Wednesday | 08:00 - 22:00 |
| Thursday | 08:00 - 22:00 |
| Friday | 16:00 - 22:00 |
| Saturday | 08:00 - 22:00 |
| Sunday | 08:00 - 22:00 |
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Al Jazeera Cargo - Oman posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.