Bin_ally
Filmmaker || Production
๐Wakati wewe unaona mwenzako ana kasoro nyingi na unamtangaza kwa watu, huenda yeye ndiye amechoka zaidi na mapungufu yako.
๐ ila ameamua kuvumilia, kukuelewa, na kuendelea kukupenda bila kulalamika.
๐Kila mtu ana mapungufu yake, hivyo kabla ya kumhukumu mwenzako, jifunze kuthamini moyo wake wa kuvumilia yale ambayo wengine wasingeweza kuyavumilia.
๐ Upendo wa kweli haupo kwenye ukamilifu, bali kwenye kuelewana, kusameheana na kubebana katika changamoto za maisha. Asalam aleykum warakhamatulah wabaraquatuh ๐๐
27/05/2026
Ifanye leo iwe na thamani ๐ค Omba kwa wakati, mkumbuke Mwenyezi Mungu mara kwa mara, msaidie mtu, na ulinde moyo wako dhidi ya hasi. Tendo moja la dhati leo linaweza kubadilisha kesho yako. โจ
25/05/2026
Life size๐ฅฐ
Asalam aleykum warakhamatulah wabaraquatuh ๐โค๏ธ
Allah is always with u โฅ๏ธโฅ๏ธ
Folo mi
๐
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
Geysir
000
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Bin_ally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.